Salaam,
1. MABATI YA MIGONGO MITATU (IT3) - Yana upana wa 750mm na urefu kutokana na mahitaji ya mteja yanaweza kutumika kwa ajili ya majengo ya viwanda na hata makazi ya watu katika sehemu za upepo mdogo.
2. MABATI YA MIGONGO MIPANA (IT5) - Yana upana wa 750mm na urefu kutokana na mahitaji ya mteja yanaweza kutumika kwa ajili ya majengo ya viwanda na hata makazi katika sehemu zilizo na upepo mwingi.
3. MAYSORE ,LUGOBA NA MANGLORE HAYA NI MABATI YA VIGAE - Bidhaa hizi zimetengenezwa kwa ajili ya nyumba za makazi na yanaleta mvuto wa kipekee katika miradi ya nyumba za makazi hudumu kwa muda mrefu na hupatikana katika vipimo vinavyokidhi urefu wa mteja.
4 MANDERA VIGAE: Bidhaa hii inateangenezwa na tekinolojia ya kipekee ambayo huwezesha mchanga kushikana na chuma hivyo kutoa muonekano wa kipekee na hudumu kwa muda mrefu pia upatikana katika urefu wa vigae vya 370mm.
Bidhaa zote zilizotajwa hapo juu utolewa na vifaa vingine ambavyo hurahisisha utumiaji wake na hutoa muonekana mzuri.
Ukitaka kupata bidhaa bora Wasiliana nasi kwa mawasiliano yaliyopo hapo chini:
Tel: +255 22 277 1309 / 277 3425- 7/ 277 2426 Fax:+ 255 277 2426
Office: + 255 22 213 8040 / 213 9158 Fax: +255 22 211 7963
Email: sales@mmisteel.com.
Wako mtiifu
Kiboko kiwanda cha mabati
copyrights © 2024 123Tanzania.com All rights reserved. Designed & Maintained by Powerweb